We uploaded in YouTube some video clip taken from Outreach Gospel done in Morogoro 2013. Find us on the following links
http://www.youtube.com/watch?v=EgAwKBfSnd8
http://www.youtube.com/watch?v=ZJfj0HziLOY
http://www.youtube.com/watch?v=xZ8izFhaKnw
http://www.youtube.com/watch?v=6s0omSNTm08
CASFETA TAYOMI-SJUTDSM
CASFETA-TAYOMI is a Pentecostal Student fellowship in Tanzania under trustee Tanzania Youth Ministries (TAYOMI). St John's University of Tanzania- St. Marks Center Dar es salaam presenting this official blog as one of its branches. This blog is Center for spiritual information, to learn to serve.
Monday, February 3, 2014
Tuesday, March 5, 2013
Karibu
Bwana Yesu asifiwe.
Wapendwa ninayo furaha kubwa kabisa kuwakaribisha kutembelea blogu hii ya CASFETA TAYOMI tawi la chuo kikuu cha St. John's Dar Es Salaam. Hii ni hatua muhimu kabisa ya tawi hili lililoanza rasmi July 22, 2011 katika ukumbi wa LT3 likiwa na wanachama 8. Nawaahidi kwa msaaada wa roho mtakatifu blogu hii itachapisha mambo yahusuyo CASFETA na hata juu ukristo.
Nakutakia ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya njema kama roho yako ifanikiwavyo. (3Yohana 1:2)
Wako katika utumishi
Mstaafu
Peter K Kapagi
Mwl na Mkurugenzi wa Kapagi Information Institute (KII)
kapagiii.blogspot.com
TANGAZO
CASFETA-TAYOMI
TANGAZO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA NA CHETI
Bwana asifiwe....
Tunayo furaha kuwakaribisha wanafunzi
wa diploma na cheti ambao ni wanaCASFETA au waliwahi kuwa wanaCASFETA
AU wanataka kujiunga na CASFETA st.John's University-Dsm na kushiriki
ibada zetu za CASFETA-TAYOMI zinazofanyika kila ijumaa ukumbi wa LT3 saa
12:00-13;00 mchana, pia mnaombwa kujisajiri ili kupanga utaratibu mzuri
wa ibada kipindi cha likizo ya wanafunzi wa shahada. unaweza kujisajiri
kwa kutuma jina kamili kwenda kwa
Peter Kapagi
Mwenyekiti
0764734620/0658734620
Samwel Furaha
Katibu
Nb. Tangazo la octoba 2011
Subscribe to:
Comments (Atom)
