CASFETA-TAYOMI
TANGAZO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA NA CHETI
Bwana asifiwe....
Tunayo furaha kuwakaribisha wanafunzi
wa diploma na cheti ambao ni wanaCASFETA au waliwahi kuwa wanaCASFETA
AU wanataka kujiunga na CASFETA st.John's University-Dsm na kushiriki
ibada zetu za CASFETA-TAYOMI zinazofanyika kila ijumaa ukumbi wa LT3 saa
12:00-13;00 mchana, pia mnaombwa kujisajiri ili kupanga utaratibu mzuri
wa ibada kipindi cha likizo ya wanafunzi wa shahada. unaweza kujisajiri
kwa kutuma jina kamili kwenda kwa
Peter Kapagi
Mwenyekiti
0764734620/0658734620
Samwel Furaha
Katibu
Nb. Tangazo la octoba 2011
No comments:
Post a Comment